Tutu Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Tutu - Arrow Bwoy
...
....
Ooh baby nmekuzoea naomba tusiachane
Milele nikuite darling (darling )
Monday to monday, body to body forever be by my side (my side )
Ati wanasema nmekushiba ila mwili mzima una sinzimaa
Juwa kwako ni wewe (kwako ni wewe)
Moyo unagonga tu tu tu tu unagonga tu tu tu unagonga tu, naogopa kukupoteza ×2
Baby tugombane , tukosane lakini tusiachane ×2
Napenda yako fujo , baby ongeza tena
Nishakutunuku , sisi kuachana sumu
Na wakaange sumu (wakaange sumu )
Imani yetu si ,tumeweka kwa Mola
I like the way you kill me kill me kill me kill me kill me kill me with your love (with your love )
Moyo unagonga tu tu tu tu unagonga tu tu tu unagonga tu , naogopa kukupoteza ×2
Baby tugombane tukosane lakini tusiachane ×2
Wacha tu waseme nmekushiba ila mwili mzima una sinzimaa
Juwa kwangu ni wewe (kwangu ni wewe)
I like the way you kill me kill me kill me kill me kill me kill me with your love (with your love)
Moyo unagonga tu tu tu tu unagonga tu tu tu unagonga tu naogopa kukupoteza ×2
Tugombane tukosane lakini tusiachane ×2
By . Jeanpaul