Nipigie Ft. Stara Thomas Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2010
Lyrics
Nipigie Ft. Stara Thomas - AT (TZ)
...
Hapo ulipo unafanya nini?
Sijui mpenzi we umeshakula
Napata shahuku ya kukuona
Kwani tangu nilipoondoka
Nataka nirudi nyumbani, nikupe stori fulani
Tukiwa pamoja mezani, iih
Kwanza nipigie, mpenzi nipigie (nakupigia, honey)
Nipigie (oh), laazizi nipigie (mi nakazi jikoni)
Nipigie (0h), wife nipigie (nakupigia, darling)
Nipigie (oh), honey nipigie
Mi na we kitu kimoja (oh kimoja)
Mi na we lengo ni moja (ooh moja)
Mi na we kitu kimoja (oh moja)
Mi na we lengo ni moja (uh uu)
Nipigie, mpenzi nipigie (nakupigia, honey)
Nipigie (oh), laazizi nipigie (mi nakazi jikoni)
Nipigie (0h), wife nipigie (nakupigia, darling)
Nipigie (oh), honey nipigie
Sema mpenzi unasemaje?
Ndio naweka msosi mezani
Ila nyumbani usichelewe
Mi na hamu na hiyo story
Story yenyewe ya nani? usije nizuga mezani
Maana ninavyotamani uuw
Nipigie, mpenzi nipigie (nakupigia, honey)
Nipigie, laazizi nipigie (naweka vocha mamii)
Nipigie, oh sweetie nipigie (ngoja niende dukani)
Nipigie, mume wangu nipigie (ngoja niende dukani)
Mi na we kitu kimoja (mi na we kitu kimoja)
Mi na we lengo ni moja (mi na we lengo ni moja)
Mi na we kitu kimoja (najua, najua)
Mi na we lengo ni moja (mi na we lengo ni moja)
Nipigie, mpenzi nipigie
Nipigie, mpenzi nipigie
Nipigie, laazizi nipigie
Nipigie, mume wangu nipigie