Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2012

Lyrics

Bao La Kete - AT (TZ)

...

A.T. - Bao la kete Song Lyrics

Intro:

Helua

Helua

Helua

Helua

Helua

Helua

Verse 1: A.T.

Huu mchezo naupenda bure bure nime fundishwa na babu enzi zile

Huu mchezo naupenda bure bure nime fundishwa na babu enzi zile

Mimi sichezi karata naogopa kuolewa na niki lamba garasa watu watanizomea

Mimi sichezi karata naogopa kuolewa na niki lamba garasa watu watanizomea

Nimezoea kula mali ya mtu nakusafiri na takaswa takaswa hadi nachoka nalala shwari

Nimezoea kula mali ya mtu nakusafiri na takaswa takaswa hadi nachoka nalala shwari

Hook:

Kocha huyo...

Kocha >> ameingia aje?

Kocha katika bao la kete >> ana husika aje

Kocha huyo...

Kocha >> ameingia aje?

Kocha katika bao la kete >> ana husika aje

Ali' alilili

Helua

Helua

Helua

Chorus:

Aiye aiye naye kasifiwa na raisi ( Helua )

Aiye aiye naye kasifiwa na raisi ( Helua )

Kwa bao la kete ( Helua Helua )

Kwa bao la kete >> Ali ali ( Helua )

Kwa bao la kete ( Helua helua )

Kwa bao la kete ( Ali ali )

Wakati wakukatika kukatika kati kati kati Ah

Verse 2:

Kwa mitego usiseme hapa ndio pake ntakupiga kitako mwe' ubaki na kete

Kwa mitego usiseme hapa ndio pake ntakupiga kitako mwe' ubaki na kete

Nitakula nyumba zote za mbele hadi za nyuma halafu we nikuache kwa vile mtajivuna

Nitakula nyumba zote za mbele hadi za nyuma halafu we nikuache kwa vile mtajivuna

Mimi sitaki matani na bao langu ni burudani

Unafikiri hadithi na bao langu lina thamani

Mimi sitaki matani na bao langu ni burudani

Ulitupa kirahisi unalitaka njoo nyumbani

Hook:

Kocha huyo...

Kocha >> ameingia aje?

Kocha katika bao la kete >> ana husika aje

Kocha huyo...

Kocha >> ameingia aje?

Kocha katika bao la kete >> ana husika aje

Ali' alilili

Helua

Helua

Helua

Chorus:

Aiye aiye naye kasifiwa na raisi ( Helua )

Aiye aiye naye kasifiwa na raisi ( Helua )

Kwa bao la kete ( Helua Helua )

Kwa bao la kete >> Ali ali ( Helua )

Kwa bao la kete ( Helua helua )

Kwa bao la kete ( Ali ali )

Wakati wakukatika hukatika katu katu katu

Kaa!

( Conversation 1 )

Asalam aleykum? Waleykum asalam

Ma ismukah? Ma Ismukah atakuwa anakaa nyuma hapa kuna mama wa kiarabu

Lah lah lah lah lah Balal maalun

Enhee na mumewe atakuwa ndio huyo Balal maalun

Ha ha ha ha mkongwe! hukijuwi kiarabu Ma ismukah waitwa nani, Balal maalun wewe ni maluni

Ha ha ujifundishe!

Post Chorus:

Lete kahawa au lete kashata kuna mtu kapagawa na karibu atadata

Lete kahawa au lete kashata kuna mtu kapagawa na karibu atadata

Helua

Helua

Helua

Helua

Helua

Helua

( Conversation 2 )

Eeh...nataka kukujua wewe

Unataka kunikojolea?

Nataka kujua wewe

Unataka kunikojolea, wewe vipi?

I want to know you

Ah haa...unataka kunijuwa wewe, Naam!

Mimi naitwa Mafamba Hassan Baharani

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status