Huu Mwaka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Huu Mwaka - Johnson Lusambo
...
Bridge
aaaaah aaaaaaaah
eeeeh Yesu weeee wee weeeh
Hakuna cha kunizuia mi na wewe
mi na weeeeeeh,
verse1
No one can come between us No no no
No one can separate us
For your mine and I am your
Nakupenda sana wewe tu
mwingine si muoni
ona nimevuka mwaka salama
umenifuta machozi Baba baba baba
Machungu yalogandamana
Nayaleta kwako kwa ibada
baraka zote natamka
mema kuyapokea
bridge
Huu mwaka
lazima nifanikiwe Nifanikiwe
huu mwaka
lazima ni Inuliwe Niinuliwe
Maana mi mtoto wako
naja mbele zako
baba Baba
wewe ni Baba yangu Baba
chorus
Wewe ukisema jambo
ukisema jambo
linatimia
kweli
Maana wewe si Muongo
simuongooo
kweli Utanipa
aaaaah aaaaaaaah aaah
linatimia
aaaaah aaaaaaaah aaah
kweli utanipa
instrumentals
oyoyoyoyox2
wamajaaaaaaabu
Verse 2
Maisha Changamoto
nyuma giza mbele Moto
Baba nimechoka na huu msoto
nahitaji wako mkonoo
Natamani Niende mbali niame sayari
ila haiwezekani
mengi majaribu Na mitihani ila Nakuahidi Nitakwaminiii
weni Mungu wamasikini
tena weni Mungu wamatajiri
ndo maana leo mimi nakiri
Nakwenda Kupokea wangu ushindii
bridge
Huu mwaka
lazima nifanikiwe Nifanikiwe
huu mwaka
lazima ni Inuliwe Niinuliwe
Maana mi mtoto wako
naja mbele zako
baba Baba
wewe ni Baba yangu Baba
chorus
Wewe ukisema jambo
ukisema jambo
linatimia
kweli
Maana wewe si Muongo
simuongooo
kweli Utanipa
kila jambo uliloniahidi Baba
linatimia
utajiri mafanikio yote baba yoyo
kweli utanipa
Duniani mara mia Mbinguni uzima wamilele
chorus
Wewe ukisema jambo
linatimia
Maana wewe si Muongo
kweli Utanipa
linatimia
kweli utanipa