Aseme Bwana ft. yuston oscar & prisca james Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Aseme Bwana ft. yuston oscar & prisca james - Johnson Lusambo
...
instrumentals
iiiiiiiih
VERSE 1
Mawazo yako sikama mawazo
ya wanadamu
akili zako sikama akili za
mwanadamu
wewe usemayo nikweli
Kweliiiiiiii
Mawazo atuwaziayo Mungu
Nimawzo ya Amaniii
wanadamu wanaweza sema, Lakini wewe unanipenda , Maneno yako Ahadi zako zote kweli
Ninaimani Na wewe Bwana Ninakuamini Peke yakooo
BWANA bwana bwana
CHORUS
Aema Bwana
asema Bwna
Nimawazo ya Amani
Nimawazo ya amaaniiii
Walasio mabaya
Atuaziayo sisi
Kutu tupa tumaini
Kutupa tupa tumaini
Aema Bwana
asema Bwna
Nimawazo ya Amani
Nimawazo
Walasio mabaya
ya amaaniiii
Kutu tupa tumaini
Kutupa tupa tumaini
ooh kutupa tumaini
kutupa amani ya uzimaa
eeeeeh
instrumentals
VERSE 2
Iye iye iyee mmmh
Wewe sikama mwanadamu
uwahidu usitimize
wala neno lako halijipigi
ukisema unatimiza
ulimuahidi elikana kumpa mtoto wa uzeeni
hanaa alishangaa lakini kamnyonyesha samweli
Bado ninaimani Ninaimani Nawe
Mimi ninaimani Ninaimanani Nawe
Mimi ninajua kuna jema umeniandalia
Namini nasubiri kwaimani kutoka kwako
Najua kunajema aah Umeniandalia mimi
Namini nasubiri kwaimani kutoka kwako. juaaa mhhh Nasubiri kwaimani
Nasubiri nasubiri
kutoka kwako
Nasubiri nasubiri kwaimani
kutoka kwako
CHORUS
Aema Bwana
ahadi zako kweli
Nimawazo ya Amani
Umesema utaniinua juu
Walasio mabaya
Kutu tupa tumaini
ulali kwaajili yangu uuue
Aema Bwana
Nimawazo ya Amani
Unaniwazia mema
Walasio mabaya
Mema
Kutu tupa tumaini
Tumaini Tumaini,
Unaniwazia mema aaa
kwaimani
iiiyeeeeeee
aaaaaaaah
VERSE 3
Maana kama vile mbinguni zilivyo juu sana kuliko nchi
kadhalika njia zako zijuu sana kuliko njia zetu
Namawazo yako kuliko kuliko mawazo yetu. uuu uuuih
Maana wanadamu wanawaza kushindwa kwangu
lakini wewe unawezaaa
ushindi wanguuuu
nasubiri nasubiri
kutoka kwako
Nasubiri nasubiri
kutoka kwako
CHORUS
Asema Bwana Wanajeshi
Aema Bwana
nanana Bwana
Nimawazo ya Amani
mawazo yako Bwana
Walasio mabaya
yelele
Kutu tupa tumaini
yatupa sisi tumaini
Aema Bwana
eeh Bwana
Nimawazo ya Amani
wewe ukisema umesema
Walasio mabaya
sio mabayaa
Kutu tupa tumaini
eeeh yeee
Never give up Never give up
aaaaaa iii yaaa
tararararah tararararaaaah
Bwana mi Nakwamini
tararararah tararararaaaah
iiiiii Wewe utatenda kwa wakati
tararararah tararararaaaah
ayayayaya Maneno yako Nikweli Bwana Bwana
tararararah tararararaaaah
Ninakuamini Nakwamini eeh Bwana
ooh Bwana Bwana, ytoshelevu wamaisha yangu
i need you lord every day every time my Lord
aaaaaaaah
iiyeee iyeeeh
aaaaaaaah