Ndani ft. bien Lyrics
- Genre:Dancehall
- Year of Release:2024
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Ndani ft. bien - Trio Mio
...
aaha ,
Trio mio,
aah, nkuruweng na ingine juu ya system
tuko ndani utadhani tuko deep state
mawithin niko maskani na kamistress
na hatutoki tuko ndani ka,,
tuko ndani ka
inner inside(inner)
inner inside ooh(walai tuko ndani ka)
inner inside (inner)
inner inside ohh(tuko ndani)
inner inside (inner)
inner inside ooh(walai tuko ndani ka)
inner inside (inner)
inner inside ohh
utaskia fiti
na kamisi
very nice very nice
ndani ka leo utaitana
tunacheza ndani uku mechi imeivana
ndani kama ocean gate vile kunazamwa
nenda deep state bila footer nina njama
ndani kama swallow
mbegu avocado
kismart ya hasubui unaamkia ndani ya thermos
ndani kama simcard
ka mbogi ya Saka
ndani shimo juu ya chips za sakaja
tunalala ndaani
mi na mpoa flani rada saafi
mzinga hatutoki tuko ndani
vybs yaani inshallah ni mastikes na majani
leo mteja hapatikani
tuko ndani ka
inner inside (inner)
inner inside ooh(walai tuko ndani ka)
inner inside (inner)
inner inside ohh(tuko ndani)
inner inside (inner)
inner inside ooh(walai tuko ndani ka)
inner inside (inner)
inner inside ooh
hatutoki ni kaveve na ombitho
tuko ndani kama dread za mkobino
nikapoa nikatamu kama bringo
nikitoa kanajam juu ya fimbo
ama kama wale wa mnazi
songa anza mapema acha kupoteza wakati
mechi ndio inaanza weka mboro katikati
nyundo lazima ishikane na kabati
tuko ndaani
mi na mpoa flani rada saafi
mzinga hatutoki tukondani
vybs yaani inshallah ni mastikes na majani
leo mteja hapatikani
tuko ndani ka
inner inside (inner)
inner inside ooh(walai tuko ndani ka)
inner inside (inner)
inner inside ohh(tuko ndani)
inner inside (inner)
inner inside ooh(walai tuko ndani ka)
inner inside (inner)
inner inside ooh
nkuruweng na ingine juu ya system
tuko ndani utadhani tuko deep state
mawithin niko maskani na kamistress
na hatutoki tuko ndani ka,,
tuko ndani ka
inner inside (inner)
inner inside ooh (walai tuko ndani ka)
inner inside (inner)
inner inside ohh (tuko ndani)
inner inside (inner)
inner inside ooh (walai tuko ndani ka)
inner inside (inner)
inner inside ooh