Mfalme Mkuu Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2015
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Mfalme Mkuu - Kanjii Mbugua
...
Chorus
wewe ndiwe, wewe ndiwe,
wewe ndiwe, mfalme mkuu x2
Verse 1
Nilikuwa nimekosa tumaini maishani
lakini yesu (eh)akaniokoa
Nilikuwa niangamie, nianguke, nipotee
Lakini yesu akaniokoa
Pre-Chorus
napigwa na butwa, ninashanga nimezubaa
wema wako oh hauna kipimo
napigwa na butwa, nimeshanga nimezubaa
nguvu zako, zako hazina kipimo
wewe ndiwe, (wewewewewue) wewe ndiwe,
(wewe ndiwe)
wewe ndiwe, mfalme mkuu
(hakuna mwingine)
wewe ndiwe, (wewewewewue) wewe ndiwe,
(wewe ndiwe)
wewe ndiwe, mfalme mkuu
Nilikuwa nimezama, shida mingi pande site,
lakini yesu akaniokoa
nilikuwa nimefungwa nimeshindwa, nimezidiwaa
lakini yesu akaniokoa
napigwa na butwa, ninashanga nimezubaa
wema wako( baba) hauna kipimo
napigwa na butwa, nimeshanga nimezubaa
nguvu zako, zako hazina kipimo...weeuwee..
wewe ndiwe, wewe ndiwe,
wewe ndiwe, mfalme mkuu x4
shangwe na nderemo
furaha ya ajabu
we umeniona mwokozi wangu x 3
wewe wewe wewe wewe wewe wewe
mwokozi wangu x 4