Ukweli (Sewersydaa) Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Ukweli (Sewersydaa) - Wakadinali
...
Yoh yoh
Manadriller
Tunatalent tuliacha kuiba crime haipay my nigga only that utazikwa
(Ukweli )×3
Unafaa ujue hujawai uzanga gazeti
Netty joh aliseti
Kuna vile alipeanwa na pedi
Rip kina teddy
Daily waliwalikwa weekendi
(Hesi si ungefungulia kesi )×4
Eeh nimetravel (Umeenda)
Na rudi leo Ndo niende tena Kitale
Heshima ni ya Caleb cjui alitoa wapi courage
Ya kuibia masake na catrage
Na tulidhani wizi kwake ni past tense
Nina lyrics Nani akona market
Na ziuzanga flash sale kwa cd na casset
Mbona uko nayo na unataka nisuffer
Hizi Ndo matare Kaa uko nayo unikanje
Siku hizi nikitafuta mkate
We unaexpect ni katee uniachee
Maziwa tu ya packet
Rarua ju ya pakee
Secure tu the package
Me sitaki Kuwa target
Kicks na hamna palace
Atii mnashinda zabee
Street hata hamsurface
Hamjui kupiga rampage
Ukweli , Ukweli , Ukweli
Unafaa ujue hujawai uzanga gazeti
Netty joh aliseti
Kuna vile alipeanwa na pedi
Rip kina teddy
Daily waliwalikwa weekendi
(Hesi si ungefungulia kesi )×2
Is not easy out here
Jana street kuna raia iliumia
Kuwa busy my dear
Kaa unanamna utajipata na mwania
Hakuna mtu hupenda itoss ikilia
Akii ishow akii icock usitry kukwaria
Mob ties kama mafia
Kanyagia crime life bro usitry kuweka gear
Crime time nine naskia tu masiren
Gunshot live wanatrace watu Kaa nne
For more than karne
Inakaa leo Ndo arubaine
Get driver ni fame na KAZ Ndo number plate
Uzieet pan ndi way sanse anataka kuintercepet
Kama fay kuexchange wakakutiwa kwa pavement
Payback is a bitch
System huwanga na intel
Usikii walishonwa
Na hosi ikadai haichukuwangi search
(Ukweli )×3
Unafaa ujue hujawai uzanga gazeti
Netty joh aliseti
Kuna venye alipeanwa na pedi
RIP kina teddy
Daily waliwalikwa weekendi
(Hesi si ungefungulia kesi) ×2
YOH
SIKU HIZI KUTAFTA GANJI
(Hao mableina )
WE UNAKAM NA UTIAJI
(Kaanga bleina )
SIKU HIZI KUTAFTA GANJI
(ring rende )
WE UNAKAM NA UTIAJI
(yoh yoh )
SIKU HIZI KUTAFTA GANJI
(wacha crime )
WE UNAKAM NA UTIAJI
(wacha crime)×2