Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2014

Lyrics

Maji Yana Mdudu - Faustin Munishi

...

Kachimbe kisima wewe mwenyewe unywe maji yako peke

Yako na usiyashiriki nao wengine ni hatari kubwa eeh!

Maji ya kisima cha watu wengi yameingiliwa na

Mdudu ukiwa na kiu usiyaonje utaambukizwa eeh.

Na kiu ya maji imeongezeka watu wanayanywa kila

Wakati na yanauzwa kote barabarani nani atapona eeh?

Kwa sababu maji yana mdudu yanapatikana

Kirahisi ukipita kote utayaona wacha kuyachota eeh.

Ukiwa na njaa ni ya chakula huwa ni vigumu

Upatiwe lakini sigara na hata pombe watakupatia eeh.

Unajua kwa nini?

Kwa sababu pombe na sigara zinaua

Wanataka na wewe ufe na wao wanakupatia eeh.

Tena na siku hizi na hayo maji yaliyo yaliyoingiwa

Na mdudu utapewa bure bila kuomba ili mfe wote eeh.

Yapo kwenye chupa kubwa na ndogo watu wanazipenda

Zile ndogo wanafikiliria zipo salama wamedanganyika eeh.

Wanazifunika nusunusu wamefanya hivyo

Makusudu ili waamushe kiu ya maji usidanganyike eeh!


Ndugu jihadhari na maji ya rahisi kachimbe kisima wewe

Mwenyewe ukiwa na kiu uyanywe maji uliypoyachimba heri.

Dawa ya mdudu hawajaipata wanaitafuta

Kotekote umwamini Yesu akuokoea amalize kiu

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status