Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2013

Lyrics

hakuna mtawala mbaya kama ahabu

hakuna mtawala mbaya kama Ahabu

wakati wa utawala wake Ahabu

wakati wa utawala wake Ahabu

Israeli walimtenda Mungu dhambi

Israeli waligeukia njia mbaya

wakati wa utawala wake Ahabu

wakati wa utawala wake Ahabu

wakati wa utawala wake Ahabu

Alitokea nabii jina lake Eliah

taifa lile lilimtenda Mungu

hasira ya Mungu iliwaka ndani ya Eliah

eliah akachukia dhambi

akaua manabii wa bahari wote

alianza na manabii mia moja wa bahari

alishusha moto toka mbiguni

uliwalamba manabii wa bahari wote

Eliah hakuishia hapo

walipoendelea kutenda dhambi tena

Eliah alisimamisha mvua

taifa lile lilimuogopa Mungu wa Elia

Eliah alishusha moto toka mbinguni

Eliah alisimamisha mvua

Eliah wakamuogopa Mungu watu wale

ilifika wakati Eliah akasema

waitwe manabii wote mia nna hamsini

na ijulikane upo Mungu unayeishi

na ijulikaneupo Mungu unayeishi

kama bahari ni Mungu basi leo tutamuabudu

na kama Mungu yupo basi leo nitajua

mmh Ahabu... ooh Ahabu

wakajikusanya mabahari wote

mianne hamsini wakaandaa sadaka yao ya kuteketezwa.

Eliah akawambia iteni Mungu

lakini Mungu bahari hakushuka tena

eliah akawaambia muamsheni

mungu wa bahari hakuamka

bahari hakuamka na wala hakuwasaidia

bahari hakushuka na wala hakuwasaidia

Eliah akasimama tena

akaandaa sadaka yake

akawaambia leteni hata maji

sadaka yangu imwagiliwe

akajipiga kifua chake hee

na ujulikane Mungu wa Eliah

moto kutoka mbinguni ulishuka

ulibeba sadaka ya Eliah kila kitu

moto kutoka mbinguni ulishuka

ulibeba sadaka ya Eliah kila kitu

wale miungu wa bahari wote walitetemeka

Eliah aliwaua wote hawakuweza kumsogelea

Ezabeli akatuma mjumbe

nenda kamwambie Eliah

kesho majira kama haya

roho ya Eliah itakuwa mikononi mwangu

kesho majira kama haya

roho ya Eliah itakuwa mikononi mwangu

maneno ya yesabeli yalimnyima usingizi

maneno ya Ezabeli yalimuharibia siku

Eliah akakimbia akasahau miujiza aliyotenda

Eliah akimbia sauti ya Ezabeli

mmh Ahabu. mmh Ahabu

yawezekana upo mtu

uliyefanya miujiza mingi

sauti za adui zimesikika tena

wanatabiri huwezi shinda

na mimi leo nakutabiria

tawala leo kibali unacho

mimi leo nakutabiria

maneno ya adui zako yasikunyime usingizi

maneno ya adui zako yasikuharibie siku

meneno ya adui zako yasikunyime usingizi

maneno ya adui zako yasikuharibie siku

Eliah alishusha moto toka mbinguni

Eliah alisimamisha mvua

Eliah wakamuogopa mungu watu wale

na ijulikane upo mungu unayeishi

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status