Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Shukrani Acappella - Advent Celestial Tz

...

Ninajaribu kufikilia kama si wewe Ee Yesu

Uliekuwa nami katika yotee

Mimi nisingeli kuwepo mpaka sasa

tena nisingefaa hata machoni pa watu u

Ninajaribu kufikilia kama si wewe Ee Yesu

Uliekuwa nami katika yotee

Mimi nisingeli kuwepo mpaka sasa

tena nisingefaa hata machoni pa watu u

Sina neno (Sina cha kufaa)

Dina jema (Mimi Sistahili)

Sina cha kukupa ila neno

Asante eeh

Sina neno (Sina cha kufaa)

Dina jema (Mimi Sistahili)

Sina cha kukupa ila neno

Asante eeh

Naleta shukrani zangu bwana Zipokee

maana sifai kuja hata mbele zako

kwa yote ulo nitendea nami niko salama hivyo bwana nipokee hata hivi nilivyo

Naleta shukrani zangu bwana Zipokee

maana sifai kuja hata mbele zako

kwa yote ulo nitendea nami niko salama hivyo bwana nipokee hata hivi nilivyo

Sina neno (Sina cha kufaa)

Dina jema (Mimi Sistahili)

Sina cha kukupa ila neno

Asante eeh

Sina neno (Sina cha kufaa)

Dina jema (Mimi Sistahili)

Sina cha kukupa ila neno

Asante eeh

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status