Safari Yangu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Safari Yangu - Advent Celestial Tz
...
Safari yangu (Safari yangu)
Ya kwenda mbingunii
Ina vikwazo vingi, Dhoruba kali njianii
Njia nyembamba, miiba mikali
Imetanda njiani mwangu, lakini yesu
Yuko nami akinitia moyoo(Tia moyo)
Safari yangu (Safari yangu)
Ya kwenda mbingunii
Ina vikwazo vingi, Dhoruba kali njianii
Njia nyembamba, miiba mikali
Imetanda njiani mwangu, lakini yesu
Yuko nami akinitia moyoo(Tia moyo)
Nainuka kwa ujasiri Ninakaza mwendo
Huku nikijua
Kiongozi wangu ni yesu uuuh
Nami nitafikaaa
Nainuka kwa ujasiri Ninakaza mwendo
Huku nikijua
Kiongozi wangu ni yesu uuuh
Nami nitafikaaa
Safari yangu
ina matumaini, Nikiwa na kiuu
Ye hunipa maji kiu huisha (Huishaa)
Nikiwa na njaaa
Ye ni chakula cha mwili wanguu
Ninapo anguka yuko nami akiniinuaaa
Safari yangu
ina matumaini, Nikiwa na kiu
Ye hunipa maji kiu huisha (Huishaa)
Nikiwa na njaaa
Ye ni chakula cha mwili wangu uuuh
Ninapo anguka yuko nami akiniinua aaaa
Nainuka kwa ujasiri Ninakaza mwendo
Huku nikijua
Kiongozi wangu ni yesu uuuh
Nami nitafikaaa
Nainuka kwa ujasiri Ninakaza mwendo
Huku nikijua
Kiongozi wangu ni yesu uuuh
Nami nitafikaaa
Nainuka kwa ujasiri Ninakaza mwendo
Huku nikijua
Kiongozi wangu ni yesu uuuh
Nami nitafikaaa
(Mi nainukaa) Nainika kwa ujasiri
(Mi nainukaa) Ninakaza mwendo
Huku nikijua
Kiongozi wangu ni yesu uuuh
Nami nitafikaaa
(Mi nainukaa) Nainika kwa ujasiri