Loading...

Download
  • Genre:Bongo Flava
  • Year of Release:2023

Lyrics

Mapenzi shikamoo

Yamenifika roho

Mahaba shikamoo

Yamenikuta oohh

Yangenitoa Roho


Hakuna mtu ambae yupo serious na mapenzi nowdays..

Snapchat na insta zimefanya mambo yako feki..

Anakupenda anakuacha anakubwaga vyote in one day..

So no love just one night stand from today


Cousins wanakulana na..

Kazini wanatekenyana eh..

Ukikosa roho mbona utapigana..

Mapenzi mapenzi nini mbona yananifanya..


Mapenzi shikamoo

Yamenifika roho

Mahaba shikamoo

Yamenikuta oohh

Yangenitoa Roho


Mapenzi mapenzi mapenz penzii

Mapenzi mapenzi mapenz peennnz

(Mapenzi)

Mapenzi mapenzi mapenz penzii

Mapenzi mapenzi mapenz peennnz

(Eh eh eh eh eh eh, hiki kitu Mapenzi)


Kama penzi ni umeme kwangu luku ishakata

Siwezi masebene na maisha ya utata

Nikipenda napenda kweli Nikiumizwa mi nnadata

Bora nikae pembeni nile vitu fasta fasta


Nini umetaka Sikupi?

Mpaka insta Nakupost

We unanichoma mkuki

Wa utosi


Mapenzi shikamoo

Yamenifika roho

Mahaba shikamoo

Yamenikuta oohh

Yangenitoa Roho


Mapenzi mapenzi mapenz penzii

Mapenzi mapenzi mapenz peennnz

(Mapenzi)

Mapenzi mapenzi mapenz penzii

Mapenzi mapenzi mapenz peennnz

(Eh eh eh eh eh eh, hiki kitu Mapenzi)

More Lyrics from P-Funk Majani Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status