NIFANYEJE Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Naomba peni na karatasi Kuna Namba nataka niandike
leo nimeikumbuka aaahh
Ufff au basi mana alisema Nisimtafute
Ila nimemkumbuka ahh ahhh
Natamani ajuee nakosa usingizi Sawa nilizingua, ila me kwake Sipigi mbizi
Naomba nisaidie shoga angu Kipenzi mbona nitakufa mie, Najiona nakosa pumzi
Missing him is the part of my Day routine si unajua Kiburi Changu kimentupa jikoni Naungulia
Msamaha wake nitaupata lini Eti unajua
Nakosa raha nakoma nakonda Aaahh
Nifanyeje nifanyeje
Nifanyeje nifanye nini
Nifanyeje nifanyeje nifanye Nini
Nifanyeje nifanyeje
Nifanyeje nifanye nini
Nifanyeje nifanyeje nifanye Nini
Alikuwa Hana mambo mengi Mstaarabu sanaa
Macho kutia upofu nikamuona Hana mana
Hana maana
Vile mie kufatwa na wengi Nikajitia mapana
Nikajiona mkamilifu maisha si Ndo haya bwana
Ahh wapi asikwambie mtu Namkumbuka namkumbuka Namkumbuka mpaka kesho Natamani siku zirudi
Yani dah hapaliki kitu
Roho inanisuta inanisuta Inasuta na majuto naomba Radhi aje anitibu
Missing him is the part of my Day routine si unajua Kiburi Changu kimentupa jikoni Naungulia
Msamaha wake nitaupata lini Eti unajua
Nakosa raha nakoma nakonda Aaahh
Nifanyeje nifanyeje
Nifanyeje nifanye nini
Nifanyeje nifanyeje nifanye Nini
Bado nampenda
Nifanyeje nifanyeje
Nifanyeje namzimikia
Natamani arudi kwangu oohh Ohhhh aahh