WAGA WAGA Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2022
Lyrics
Mi mtoto wa kitanga wangu Wabaduuu uu
Baby me for you letu penzi
Lipo juu nakupeendaa
Sitaki madanga tulia kwanguu
Tunza ua langu igo die with You uuuuhh
Usije ukaniacha uende uendeee
Nimeekuvesha pembee aaaaah
Nakukunda chane chaneee
Nichezeshe mande tafarani Nilewe eeee
Nipigishe bambiii
Nijae kitambi
Punguza utambi uloweka weka
Mimi niko radhi twende kwa Wazazi mbagara chamaziii
Kwa baba na mama
Basi nipe utamu
Na mi nikupe utamu
Tupeane utamu utamu tena
Unanikoleza
Unanichombezaga
Mahaba wagawaga
Helluwaaa
Nimempata fundi ajuae eee
Ninaporuka viunzi nipo na eee
Pole yako bundi ufugwa eee
Kwetu hakuna ndondi
Mambo oya aeee
Asa rumba tucheze na wenye Jealous watapagawa
Kwa kanga nikubebe mi Sina Hila chochote sawa
Nipigishe bambi
Nijae kitambi
Punguza utambi uloweka Uloweka
Mimi niko radhiii
Twende kwa wazaziii
Mbagara chamaziii
Kwa baba na mama aaaa
Basi nipe utamu
Na mi nikupe utamu
Tupeane utamu utamu tena
Unanikoleza
Unanichombezaga
Mahaba wagawaga
Helluwaaa