Respect ft. Kontawa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Respect ft. Kontawa - Anjella
...
Kwanza vitabu vinasema ishi na mimi kwa akili
Mwanamuke kiumbe jasiri
Mrembo alafu naakili akiniponyoki kitu ata nishike mawili
Najua unamabavu na nguvu unanishinda
Na mara nyingi unanionaga mjinga
Lakini nakupinga ata uwe na nguvu vip hauwezi kubeba mimba
Ni kweli nimetoka kwenye ubavu wa kushoto
Lakini mi ndo nakuletea watoto
So you better respect woman (womanx3)
Ukitaka kujua mi ni nani muulize samson
Tumeumbwa mi na ww ila mi ndo champion
Nabeba mimba miezi tisa nazaa kwa uchungu
I say you better respect
Respect respect
Respect respect
Respect respect
Respect
I say you better respect
Respect respect
Respect respect
Respect respect
Respect
Nimekutoa kwenye ubavu wakushoto
Na ndo nafanya we unapata watoto
Hakuna chakunipa changamoto
Naweza ntapika chips zege ukileta kokoto
Ah Wanaume bhana ndo kiumbe kamili
Anakula kwa jasho na anamikono miwili
Kabla hujanidharau embu kwanza fikiri
Mtu nina shingo moja alafu nnavichwa viwili
Mwanaume kwenye dunia analeta unafuu
Kagundua gari ili husitembee kwa miguu
Ndege ili upite juu kwa juu
Simu uwasiliane na watu
Uwanaume ni mgumu husijidanganye
Kuna wanaume wameleft na ilibidi tuongozane
So you better respect woman
Ila ukijikuta kanye haya kanye
Respect respect
Respect respect
Respect respect
Respect
I say you better respect
Respect respect
Respect respect
Respect respect
Respect