MIBARAKA TELE Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Jua linachomoza ni Asubuhi
Mwanga unamulika
Siku inaanza kwa furaha kubwa
Mwokozi amenilinda
Mibaraka tele hunifuata mimi
Kwa maana ananilinda daima
Naye atembea nami njiani kote kwenye njia salama
Mibaraka tele hunifuata mimi
Kwa maana ananilinda Daima
Naye atembea nami njiani kote
Kwenye njia salama
Ni mangapi umefanya Maishani
Ya kumpendeza MUNGU
Hata kuiona siku hii ya leo
Ni rehema zake Mungu
Mibaraka tele hunifuata mimi
Kwa maana ananilinda daima
Naye atembea nami njiani kote
Kwenye njia salama
Mibaraka tele hunifuata mimi
Kwa maana ananilinda Daima
Naye atembea nami njiani kote
Kwenye njia salama
Tembea na Yesu
Jikabidhi kwake
Ni muaminifu akulinda daima
Jua likizama mshukuru Yehova
Giza likianza Muombe akulinde
Kwani atembea nawe njiani kote
Kwenye njia salama
Kwani atembea nawe njiani kote
Kwenye njia salama, salamaa