MOYO TULIA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
MOYO TULIA - The Warriors' Voices
...
Moyo unatama kuyatenda yaliyo mema lakini huu mwili wangu nidhaaifu sana kilamara najikuta chini mabaya yaja na kunizidi najitahidi niwe imara ilinitende mema
Moyo tulia kwa Bwana daima tulia pale utende yampendezayo Mungu kwautukufu wake

Sote tuwadhaifu hayupo aliye kamili tunayo mapungufu mengi yatesa mioyo yetu E Bwana tunakuomba sasa utuumbie mioyo mipya mioyo yakujutia dhambi mioyo ya nyama
Moyo tulia kwa Bwana daima tulia pale utende yampendezayo Mungu kwautukufu wake
Moyo tulia kwa Bwana daima tulia pale utende yampendezayo Mungu kwautukufu wake
Moyo tulia kwa Bwana daima tulia pale utende yampendezayo Mungu kwautukufu wake
Moyo tulia kwa Bwana daima tulia pale utende yampendezayo Mungu kwautukufu wake kwautukufu wakee