Mkono Wa Bwana Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2016
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Mkono Wa Bwana - Zabron Singers
...
mmmmh mmmh ha ha haaaa
Tumeuona mkono wake Bwaanaaa...
Mengi mazuri tumeyaona Mungu unetenda (Ni kweli we muweza...)
Ulitamka vitu vikawa
Neno tu latosha (Ukisema umetendaa.....)
Mh Bahari Shamu Isirel Ahh uliwavusha (Kawatoa utumwani)
watumishi umewapa yote waombayo
Watumishi wako umewapa yote waombayo (ikiwa umependezwaa...)
Uamualo hakuna wa kulipinga hakika wewe ni Mungu ( Wa vyootee...)
Unatawala dunia na vilivyomo