Hawanielewi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Hawanielewi - Komando wa Yesu
...
*Instruments*
Nimejitetea kadri ninavyowezaah
Kilichotokea nimeshakielezaah
Ni kweli sijafanya wanasema nadanganya
Nimekula na viapo hawanielewi
Nikasema nilie sindo nikaharibu kabisa
Nikajikaza kiume nikaitwa jeuri yote tisa
Ukweli na uongo naujua mimi kimbembeni wa kuniamini mpaka kesho HAWANIELEWI
Nikasema nilie sindo nikaharibu kabisa
Nikajikaza kiume nikaitwa jeuri yote tisa oooh
Ukweli na uongo naujua mimi kimbembeni wa kuniamini nimefika mwisho wanadamu hawanielewi
Wanijua zaidi ya wanavyonijua wanielewa zaidi ya wanavyonielewa
Wanadamu hawanielewi yoyoyooh
(HAWANIELEWI )
Wanadamu hawanielewi yoyoyooh (HAWANIELEWI)
Dunia iko bize hainielewi yoyoyooh (HAWANIELEWI)
Dunia inachati hainielewi yoyoyooh (HAWANIELEWI)
Nimejitahidi hawanielewi walimwengu
(HAWANIELEWI)
Nimejaribu hawanielewi wanadamu (HAWANIELEWI)
Mmmh mamamaahh mamamaah
Naona wajitutumua kumfurahisha mwanadamu
Nani amekuambia nakupa pole sana
Wenzako wameumia mioyo imejazwa sumu ona wanalia usiku mchana eeeeh
Unayemwegemea anaweza anguka puuh
Mwanadamu ni mwanadamu tu
Msaada wetu unatoka juu
Wa kumwamini ni Mungu tu
Unayemwegemea anaweza anguka puuh ...
(Mwanadamu) mwanadamu ni mwanadamu tu
Msaada wetu unatoka juu
Wa kumwamini ni Mungu tu
iiiiih anatujua zaidi ya wanavyotujua aaah
Anatuelewa zaidi ya wanavyotuelewa aah
Anatujua zaidi ya wanavyotujuuuaa aha
Huyu Yesu anatuelewa zaidi
Wanadamu hawanielewi yoyoyooh
(HAWANIELEWI)
Wanadamu hawanielewi yoyoyooh
(HAWANIELEWI)
Dunia hainielewi yoyoyooh
(HAWANIELEWI)
Dunia iko bize hainielewi maamah
(HAWANIELEWI)
Ulimwengu uko bize haunielewi eeh
(HAWANIELEWI)
Ni Mungu tu ananielewa ila mwanadamu (HAWANIELEWI)
Ni Baba tu ananielewa ila walimwengu(HAWANIELEWI)
Amebaki peke yake hee
Amebaki peke yake
(HAWANIELEWI)
HAWANIELEWI HAWANIELEWI HAWANIELEWI (HAWANIELEWI) HAWANIELEWI eeh HAWANIELEWI
(HAWANIELEWI)
(HAWANIELEWI)
(HAWANIELEWI)
BY Naom Kadot