Niombee Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Niombee - Tommy Flavour
...
Yeeeh eei
Naweza ona kuna maana labda
nami sio malaika kusema niotee
ni mengi kwenye maisha yangu, yajaa
uwepo wako muhimu, sitaki nikukosee
naamini baraka zangu zatoka kwako
mafanikio yangu, si ni dua zako
mfano ufukwe, jua kali ndo lipendezapo
usije ukae mbali, pale nipatapo
we ni mtu huna baya bwana
huniachilii, unafanya mimi
usisahu dua kwa maulanaa
nikumbushie yasinipitie ya dunia mengi
niombee ooh niombee
ina mengi safari ooh, niombee
niombee ooh, niombee
tuwe karibu si mbali oh, niombee
niombee oh, niombee
ina mengi safari oh, niombee
niombee oh, niombee
tuwe karibu si mbali oh, niombee
Eeeh, sio ulimbukeni labda mole akikupa
eti utawatup kisa maisha yako supa
eeeh najichunga sana nisiende kwa pupa
niombeeni kutwa nami nazidi kutafuta
naamini baraka zangu zatoka kwako
mafanikio yangu, si ni dua zako
mfano ufukwe, jua kali ndo lipendezapo
usije ukae mbali, pale nipatapo
we ni mtu huna baya bwana
huniachilii, unafanya mimi
usisahu dua kwa maulanaa
nikumbushie yasinipitie ya dunia mengi
niombee oh, niombee
ina mengi safari oh, niombee
niombee oh, niombee
tuwe karibu si mbali oh, niombee
niombee oh, niombee
ina mengi safari oh, niombee
niombee oh, niombee
tuwe karibu si mbali oh, niombee