HUITAJI JESHI Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Huitaji jeshi ushinde vita
Nani asimame mbele zako
Wewe ni mwenye nguvuuu
bwana wawezaa
Huitaji jeshi ushinde vita
Nani asimame mbele zako
Wewe ni mwenye nguvuuu
bwana wawezaa
Nani apingane na maamuzi yako
Nani apingane na neno lako
Hakuna hakuna hakunaaa
Hakuna hakuna hakunaa
Nani apingane na utukufu wako
Nani apingane na ufalme wako
Hakuna hakuna hakunaa
Hakuna hakuna hakuna
Nani apingane na maamuzi yako
Nani apingane na neno lako
Hakuna hakuna hakunaaa
Hakuna hakuna hakunaa
Nani apingane na utukufu wako
Nani apingane na ufalme wako
Hakuna hakuna hakunaa
Hakuna hakuna hakuna
Ukiamuru kutenda nani apingane na wazo lako
Halizuwiliwi na mtu wala kitu chochote kile
Ukiamuru kutenda nani apingane na wazo lako
Halizuwiliwi na mtu wala kitu chochote kile
Wewe ni mwenye nguvu
Bwana waweza
Wewe ni mwenye nguvu
Bwana waweza