BABA MWEMA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Jina lako liinuliwe
Ufalme wako uje huku
Mapenzi yako yatimizwe
Duniyani kama vile yalivyo mbinguni
Jina lako liinuliwe
Ufalme wako uje huku
Mapenzi yako yatimizwe
Duniyani kama vile yalivyo mbinguni
Jina lako liinuliwe
Ufalme wako uje huku
Mapenzi yako yatimizwe
Duniyani kama vile yalivyo mbinguni
Waweza kufanya chochote utakacho kwa nguvu zako waweza
Waweza kutenda lolote utakalo kwanguvu zako waweza
Waweza kufanya chochote utakacho kwa nguvu zako waweza
Waweza kutenda lolote utakalo kwanguvu zako waweza
Mamlaka na nguvu unazo kulifanya jambo lile utakalo
Mamlaka na nguvu unazo kulifanya jambo lile utakalo
Bwana unaweza
Bwana unaweza
Bwana unaweza
Unaweza yotee
Hakuna usilo weza wewe ni Baba yangu mwemaa
Umewazidi wote duniyani hakuna kama wewe
Wewe ni Baba yangu mwema
Unaweza yotee
Hakuna usilo weza wewe ni Baba yangu mwemaa
Umewazidi wote duniyani hakuna kama wewe
Wewe ni Baba yangu mwema