Diana Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Diana - Bahati
...
EMB Records
Diana Na na
Diane
Diana Na Na na
Diane
Diana Na na
DianTeddy b
uyagmagugenje (chi)
ukurema Yari yikurota
baby romantic
siwezi Waza nikikupoteza
subiris subiria
nikisubiri mpenzi
sinilikupa mapenzi
narudia baby
ukinitoka baby nitaumwa
Na mi nitakonda ye Yeh
Coz nobody compared to my woman
ulivyo mzuri kama mdolly( Diana)
roho yangu taabani (Diana)
toka Zamani (Diana )
bado Ni wewe natamani (Diana )
? mwezetu Ni love (Diana )
nitakupeleka Kwa mama (Diana )
Sina ujanja nakupenda (Diana )
mukundurume si mvesha (Diana )
Na mbona tunagombana 'nabishana pigana
(that is so funny)
nice napenda Na Sina mwingine mah
(that is so funny )
nobody else that deserves you
wanajua we Ni wangu
I'm gonna marry you one day
?baby but you know
but our song is on repeat
saying I love you darling
ndiokibisi anabivi
still I'll love you baby
ukinitoka baby nitaumwa Na nitakonda
Coz nobody compared to my woman
ukiuliza majirani( Diana)
aki Ni wewe natamani (Diana)
naukisema sifai (Diana )
aki Sina amani (Diana )
? mwezetu Ni love (Diana )
nitakupeleka Kwa mama (Diana )
Sina ujanja nakupenda (Diana )
Ni Bahati tena (Diane)
Na Bruce melody (Diane)
Rwanda to Kenya (Diane )
tuwape melody (Diane )
uyagmagugenje (chi)
ukurema Yari yikurota
Diana Na Na
Diana
Diana Na Na Na
Diane
ulivyo mzuri kama mdolly( Diana)
roho yangu taabani (Diana)
toka Zamani (Diana )
bado Ni wewe natamani (Diana )
mwezetu Ni love (Diana )
nitakupeleka Kwa mama (Diana )
Sina ujanja nakupenda (Diana )
mukundurume si mvesha (Diana )
mwezetu Ni love (Diana )
nitakupeleka Kwa mama (Diana )
Sina ujanja nakupenda (Diana )
mukundurume si mvesha (Diana )