Asubuhi Njema Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2015
Lyrics
Asubuhi Njema - Hedaru Central Church SDA Choir
...
Asubuhi njema, Asubuhi ya furaha tutakapovuka mto wa yoridani
tukishangilia na kuimba na kuruka
haleluya hale-luya Asifiwe
Chorus x2
Washindi - watafurahi,
Kukanyaga - nchi mpya
Tabu zote - za dunia
Watazisahau - pale
Wakiingia - mjini wataonana na yesu
Atawafuta machozi kwa furaha
Nyimbo za furaha tutaziimba pale
Tukipongezana kupeana mikono
Tukitabasamu tabasamu la hakika
Sifa na heshima vyote ni kwa Jehova
Chorus x2
Washindi - watafurahi,
Kukanyaga - nchi mpya
Tabu zote - za dunia
Watazisahau - pale
Wakiingia - mjini wataonana na yesu
Atawafuta machozi kwa furaha
Chorus
Washindi - watafurahi,
Kukanyaga - nchi mpya
Tabu zote - za dunia
Watazisahau - pale
Wakiingia - mjini wataonana na yesu
Atawafuta machozi kwa furaha