Umtazame Yesu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Akaanza kutembea juu ya maji akasahau ni Yesu amemwita, akaanza kuzama akakumbuka yeye hana uwezo anamwitaji IYesu
Kidogo kidogo hatua, akaona shaka, hatua kidogo tena, akaanza kuzama, E Bwana nirehemu nisiangamie, umtazame Yesu patakuponya
Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika na akamwokoa, mbona uliona shaka? mwenye imani haba Petro na wengine wakamsujudu