Akalia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Akalia
Kalvari, Kalvari, Yesu asononeka
Mzigo wa Dhambi zetu zikamlemea
Akalia imekwisha, wokovu wetu ukatimia, tumeunganishwa na Mungu baba
Sasa sisi tu wana wake
Eloi, Eloi, Mbona umeniacha, Mkononi mwako Ee Baba, roho yangu naiweka