Kitawaramba Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
Lyrics
Kitawaramba - momox
...
yeeeeeh
vinoox records aaah momox again
na kweli kachumbari aipashwi Moto
nimenogewa nimejifea
ladha yako tamu wala sio utoto
nanyenyekea,kwako nadekea,
hata waende Shakahola,
kutufungia walahi wa billahi sitakuachilia,
ulivyo motomoto,nateketea,
hivi nikuulize umeumbwa au umeshushwa,
maaana mwenzio ooh,
umeniweza aaaah,minashidwa hata kuvumilia
akilini mwa umenikoroga,me nashidwa hata kuvumilia,aaaiiiiya
chorus
aaaaiiii Lulu Lulu weeh,
nakupenda penda mwaah mwaaah
aaaiii Lulu Lulu weeeh
nakupenda penda mwaah mwaaah
na wasio tupenda,,
kitawaramba, kitawaramba,kitawaramba kitawaramba,kitawaramba,kitawaramba,kitawaramba,kitawaramba,kitawaramba,eeeehh mmmmh,kitawaramba,kitawaramba,kitawaramba,eeeeh mmmh kitawaramba,kitawaramba kitawaramba maaamaaah
my girl,umenifunga umeniweka kwenye kichupa, mwingine sitamani,umenifanya zuzu utakacho nakupaa,
nikupelekee Moto,tusake watoto kwenye Giza totoro my wewe,
usiku iwe Moto,fundi wa mikosho,bigiri bayana,kera kwaku jua
Kwa moyo wangu nani umejifungia ufunguo ukatupaa,eeeh i feel maridadi unaponipatia sitamani kushuka,
eeeehh,mmmmhhh .
chorus
kwa moyo wangu nanii amejifungia ufunguo akatupaa,eeeeeh I feel maridadi, aaaiii Lulu Lulu weeeh nakupenda penda mwaah mwaaah