Heartbreaker Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Heartbreaker - momox
...
uyeeyeyee mmmmh...
They call me momox again.....
Alexis on the beat......
Haikua sawa uliponiacha kitandani ukanikimbia
ila sio mbaaya pokea simu mwenzako nataka kukwambia
hivi ushawahiwa ama baado unantania
nieleze Mana nna jambo moja mi nataka kukwambia
mwenzako silali , dhufdhuf nah
umenikata makali , dhufdhuf nah
moyo wangu si shwari , dhufdhuf nah
kichwa kutwa maswali , dhufdhuf nah
mwenzako silali , dhufdhuf nah
umenikata makali , dhufdhuf nah
moyo wangu si shwari , dhufdhuf nah
kichwa kutwa maswali , dhufdhuf nah
na Leo umenivunja moyo
heartbreaker.... mmh
heartbreaker ..... ulallaa
heartbreaker .....
umenifanya mi poyoyo
heartbreaker ....olalla
heartbreaker .... mamma
heartbreaker ....
umeeniumiza moyo
heartbreaker ....mmmh
heartbreaker ....
heartbreaker ....
I regret even to know you
heartbreaker ....onanaa
heartbreaker .....mmh
heartbreaker .....
I want you to know I'm not good nalia lia
mapenzi shikamoo niondokee nakuchukiaaa
ila usisahau penzi nilokukabidhi mwana
inaniuma kishenzi nikikumbukaga Sana
kama party tuliparty ukatamka sikuachi
Iweje leeeo unayakanusha matamshi .
mama mapenzi Sitaki moyo wangu utanishtaki
Mana naogopa usije nibreak heart
mwenzako silali , dhufdhuf nah
umenikata makali , dhufdhuf nah
moyo wangu si shwari , dhufdhuf nah
kichwa kutwa maswali , dhufdhuf nah
mwenzako silali , dhufdhuf nah
umenikata makali , dhufdhuf nah
moyo wangu si shwari , dhufdhuf nah
kichwa kutwa maswali , dhufdhuf nah
na Leo umenivunja moyo
heartbreaker.... mmh
heartbreaker ..... ulallaa
heartbreaker .....
umenifanya mi poyoyo
heartbreaker ....olalla
heartbreaker .... mamma
heartbreaker ....
umeeniumiza moyo
heartbreaker ....mmmh
heartbreaker ....
heartbreaker ....
I regret even to know you
heartbreaker ....onanaa
heartbreaker .....mmh
heartbreaker .....
na Leo umenivunja moyo
mmh.... ulallaa ...
umenifanya mi poyoyo ...
ulallaa mammaa......
umeeniumiza moyo ..
heartbreaker
heartbreaker
heartbreaker
I regret even to know you
heartbreaker
heartbreaker
heartbreaker
city sound production ....