Penzi Jipya ft. Tamimu Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Penzi Jipya ft. Tamimu - Gigy Money
...
………
Heeeeheeeee*2
We kama akikutaaaa tafuta mwenginee
Penzi foleni mataa anaefata mwenginee
We kama ukiachwaa mwenzangu usinune
Ndo kwanza kesha bar kunywa bia kunjaa nne
(Instrumental)
Alokwambia utongozwi ni muongoo
We mbichi bado unalipaa so kitotoo
………
Siunaniona gigy money bado wamotoo
Ukinikutaa nshaji pimpu kama mtotoo
………….
Ukijishauwaa kuniacha leo kesho nnapenzi jipyaa
Kwamitandao ntaliwekaa wazi ntapost post mapichaa
Haaa snapchati videoo status whatsapp instaa
…………..
Yani mtanikomaa mtanijuaa yani kwishaa kabishaa
We kama unajikubali pigaa kelele kidogo(……)
Kama unanyota kali piga miluzi kidogoo(……)
Au umegonganisha magari piga kelele kidogoo(…)
We kam bingwa wa ku cheat piga miluz kidogo
…………………….
Me wala sijaliii hata ukinacha. Naonaa poaah
Mbona shwalii sidhani ka umenikomoaaa
……….
Tena najikubaliiii wananizimikiaa wapo tayar kuni garamiaaa
Wee kama ukini cheat me nadangaaa sijaja kulinda duniaaa
Ukinichanganya na mashem nachukuaaa
Oooh ooooh sinaga ufagioo kiroho safi bahariaaa
Usinichukulie poa sijaonaa kumwanda fear aahaa
Aaaaah aaah akisema hakutakiii muache aende zakeeee
Mkomeshe mvimbiee amjue mwenzakeee
Mwonyeshe wako uchiziii wakuachikaaa uooo
Kudaaanga mpaka uzeen si kalianzishaa uyoo
Unasema miuno ya kalia chongo unaisusa iyoo
Mwendo wa somodo unaitupaa iyoo
Ukijishaua kuniacha leoo kesho ninapenzi jipyaa
Kwa mitandaoo ntaliweka wazii ntapost post mapichaaa
Aaaah snapchat video status whatsapp intaaaa
Me mwenzen mtanikomaa mtanijua yan kwishaa kabisaaa
We kam unajikubali piga kelele kidg
We kama unanyota kali piga miruz kidg
We kam umegonganishaa magari piga kelel kidogoo
We kam bingwaa waku cheat piga miruz kidgo
Gigy money(mention)
Kama vip we tutwamaa mama inamaaaaa…..we tikisaa moja mojaaa dana danaa wetutwamaaa
Mama inamaa we tikisa moja mojaaa
Dana danaaaa
Gigy an unanikoshaa ukikataaa aaah naku
Ona umejitafutaaa umejipataaa
Peleka mkono upapaseee mikapachaa aaah
Miondoko ya kibao kataaaa ka unakataaa
Kataaaa oyaaa usiogopeee kataaaaa
(Another mention people)