Miaka Mingi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2019
Lyrics
Miaka Mingi - The Ngomongo Ministers
...
miaka mingi imepita Niko palepale
nikayarudia matapiko yanguuu
ya Dunia yamekuwa tamu kwangu
macho yangu yamefungwa NAMI
kama umbwa kurejea tapiko
nakuonyesha upumbavu wakeee
nimepumbazwa na mambo ya kale
ninarudia dhambiiiiii .. nimepumbazwa na mambo ya kale ninarudia dhambiiiiii.
ole wako ulo fahamuuu na kukiri neno la yesu
(Kisha)Kisha Tena ukarudi dhambini
nakuyatenda mambo ya kaleee
Hali Yako itakuwa mbaya kuliko hapo awali
ingekuwa afadhali kwakoo kama usingalijua
njia hiyo ya haki na Tena ukaiacha....*2
nirehemu eeeh mwokozi kama ilivyo
na fadhili zako unisafisheeee kwa hisopo NAMI
nitakuwa safi kama ilivyo theluji bwanaa
uzifute hatia zangu zote uniumbie moyo safi bwanaa uyafumbue macho yangu bwanaa
niyaone ya mbinguuuu.... uyafumbue macho yangu bwanaa niyaone ya mbinguuuu*2
ole wako ulofahamu na kukiri neno la yesu Kisha Tena ukarudi dhambini na kuyatenda mambo ya kaleee Hali Yako itakuwa mbaya kuliko hapo awali ingekuwa afadhali kwakoo kama usingalijua njia hiyo ya haki na Tena ukaiacha*4