Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2019

Lyrics

Tunasongwa na majaribu mengi, Kunapokucha na shida uzidi

Vifo vinaongezeka, Magonjwa na dhiki, Amani nayo yazidi toweka

Lakini Mungu kamwe hatuachi, Hutushindia majaribu mengi,

Mfariji na tabibu mleta amani

Mwamba imara na ngome vitani


Tunakushukuru Mungu, kwa maana hutuachi

Mfariji na tabibu mleta amani,

Mwamba imara nangome vitani


Tunakushukuru Mungu, kwa maana hutuachi

Mfariji na tabibu mleta amani,

Mwamba imara nangome vitani


Viongozi na watu mashuhuri, Wanakesha kutafuta amani

Vivyo hivyo matabibu, pia wachunguzi, kupambana na magonjwa makali

Lakini Mungu kamwe hatuachi, ndiye jibu tupatapo tufani

Mfariji na tabibu mleta amani

Mwamba imara na ngome vitani


Tunakushukuru Mungu, kwa maana hutuachi

Mfariji na tabibu mleta amani,

Mwamba imara nangome vitani


Tunakushukuru Mungu, kwa maana hutuachi

Mfariji na tabibu mleta amani,

Mwamba imara nangome vitani


Mfariji na tabibu mleta amani,

Mwamba imara nangome vitani


Mfariji na tabibu mleta amani,

Mwamba imara na ngome vitani

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status