Twaweza Yote Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Twaweza Yote - The Bronze Wall Ministers
...
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
u kanisani muhubiri ahubiri
maneno yakuchoma moyo
unakumbuka Jana na juzi
ulihapa hutatenda dhambi
lakini leo umejikuta pale pale
ooooh wadhani mimba ulotoa
Ni dhambi!
wewe ulo msherati
ni dhambi !
Na ndoa ulo vunja
dawa za kulevya
na yesu
akuita
uliyepotea njoo
kwake atazisafi
japo dhambi nyingi
na dhambi hata ziwe nyekundu
yeye atazisafi
hakika
Twaweza !
Kwa jina!
la bwana !
mungu!
AMINI WEE!
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
Twaweza Yote
Kwa jina la bwana la bwana
Twaweza
TWAWEZA!
KWA JINA!
LA BWANA MUNGU!
AMINI WEE!!