Mkono Wako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Mkono Wako - The Bronze Wall Ministers
...
tumeuona Mkono wako, matendo yako ni makuu, milima na mabonde pia umetuvusha tusalama
huchomoza jua tena latua yatikisayo moyo pia mengi pasipo kua Mkono wko bwana tungeangamia wote motoni
tumeuona, tumeuona Mkono wako bwana, matendo yako wee ni makuu sanaa yawe mabaya,japo Kwa Hali ngumu ukatuneemesha tukafika hapa , twakusmini wewe watosha
mmmmh Kwa rehema zako bwana, umbali huu tumefiikia, Mimi sina cha kulipa bwana, Kwa matendo yako makuuu. baraka umetunyunyizia eeeeh! milima na mabonde pia umetuvusha na ni Kwa neema na ni Kwa neema na ni Kwa neema yako
tumeuona, tumeuona Mkono wako bwana, matendo yako wee ni makuu sanaa yawe mabaya,japo Kwa Hali ngumu ukatuneemesha tukafika hapa , twakusmini wewe watosha