Mama Watoto Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mama Watoto - Bahati
...
EMB records
Sherri eeh
Sherii eeh mama
Sherri eeh
Mama watoto
Mungu amenipa binti ananifaa mimi
We umenipa kabinti
Kanafanana na mimi
Hapo najua una differ na mimi
Lakini iko nini
Huyo ni mimi juu chini
Umefanya nikaitwa daddy
Kila siku mummy eeeh
Stamina mummy eeeh
Nizeeke niitwe granny
Be my hunnie
Stamina granny
Aaah uchu wangu mama
Unaulinda sana
Vituko vyangu mama asante sana
Sherry eeh mama
Shery eeh
Mama watoto
Sherry eeh mama
Shery eeh
Mama watoto ×2
Wacha ni go straight to the point kama bio
Moyo wangu umeiteka ii kanairo
Ulinipenda before ni go viral
Nikiwa nimechakaa kaaa
Nywele za kajaya
Miaka kumi imepita siamini
Bado mapenzi tight
Ka budget ya maskini
Umekuwa loyal hata nikiwa chini
Regardless DMs za mafidi wa mjini
uchi wangu hujaweka hadharani umekanyagia
kama mtu wa cherahani
na vituko zangu hata zikiwa gani
hujaambia mtu hata majirani
Sherry eeh mama
Shery eeh
Mama watoto
Sherry eeh mama
Shery eeh
Mama watoto ×2
Umefanya nikaitwa daddy
Kila siku mummy eeeh
Stamina mummy eeeh
Nizeeke niitwe granny
Be my hunnie
Stamina granny
Sherry eeh mama
Shery eeh
Mama watoto
Sherry eeh mama
Shery eeh
Mama watoto