Jambo Moja, Signature Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Jambo Moja, Signature - Best SDA Music
...
stanza one
kuna Jambo moja sitaki kusikia masikioni mwangu ,Jambo gani,kwamba shetani anainuka,sema tena ,katikati ya Wana wa Mungu ,Hilo ndilo,kuna shirika gani Kati ya Nuru na Giza haiwezekani kamwe , kuna shirika gani Kati ya Nuru na Giza haiwezekani kamweee.
chorus :Jambo moja lanipa faraja, yesu anaweza yote ,Kwa jina lake mapepo yakimbia,ni mwana wa Mungu ,shetani Hana mamlaka tena Kwa watoto wa yehova anawasasiri Moto wa mile siku hiyo inakuuja.
stanza two
kuna Jambo moja Nataka kusikia masikioni mwangu ,Jambo gani , kwamba yesu anainuliwa,sema tena , katikati ya Wana wa Mungu, Hilo ndilo , kuna shirika gani Kati ya Nuru na Giza ,haiwezekani kamwe, kuna shirika gani Kati ya Nuru na Giza haiwezekani kamwe .