Magari Na Farasi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Magari Na Farasi - Best SDA Music
...
Watu hawa wanazungumzia magari,watu hawa wanazungumzia farasi,sisi tunajivunia jina la yesu, jina la yesu jina la yesu (ooh ooh!), ushindi ushindi ushindi ni jina la yesu.
(ooh ooh!)Ni yesu, ni yesu (ni yesu
pekee), jiwe kuu jiwe la pembeni,
likiitwa mambo yote ni sawa sawa,
kila goti litapigwa kwake siku ya
hukumu (sema wasikie) kila goti
litapigwa kwake siku ya mwisho.
Jeshi la Farao linakuja kwa magari, jeshi la farao linakuja kwa farasi sisi tnatanguliza jina la yesu, jina la yesu jina la yesu, (ooh ooh!)ushindi ushindi ushindi ni jina la yesu