Fanya Mambo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Fanya Mambo - Bahati
...
DK kwenye Beat na Bahati tena,,,, Eeh!
Teddy B.....
Umefanya mambo fanya mambo
Umefanya mambo aaah! fanya mambo
Umefanya mambo (Eeh!) fanya mambo
Umefanya mambo Ewe Yesu!
Aah! pakatokea Dhoruba kali (Ndio), Mawingu yanatisha kali wagonjwa wametoka mbali aah! Fanya mambo aah!, Ile damu ya kalivari (Ndio) bado fresh inafanya kazi (Ndio) Inaponya kwa kila hali aaah! Fanya mambo...
Umefanya mambo fanya mambo
Umefanya mambo aaah! fanya mambo
Umefanya mambo (Eeh!) fanya mambo
Umefanya mambo Ewe Yesu!
Mwokozi wangu I love you Mwaaah ×2
Nimeacha mavela nimeacha mabebe ×2
Mwokozi wangu I love you Mwaaah ×2
Nimeacha mavela nimeacha mabebe ×2
Ju Umefanya mambo fanya mambo
Umefanya mambo aaah! fanya mambo
Umefanya mambo fanya mambo
Umefanya mambo Ewe Yesu!
Toka kitambo, kitambo.... Unafanya mambo mambo×2
Uligawanya bahari wewe! Ulishinda ata Pharaoh wewe
Uligawanya bahari wewe!
Ju Umefanya mambo fanya mambo
Umefanya mambo aaah! fanya mambo
Umefanya mambo (Eeh!) fanya mambo
Umefanya mambo Ewe Yesu!
Hello Siste wamungu Umeleta Injili kwa Mungu DK kwenye beat hehehe!! Bahati tena Teddy B Mêtré lavãvēr.......Awèr
Lyrics by EBRO