Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2023

Lyrics

Haleluya Nyakati Zote ft. Paul Clement - Henrick Mruma

...

Kwenye shida

Kwenye raha

Kwenye shibe

Kwenye njaa

Nitaimba haleluya

Haleluya haleluya

Kwenye shida

Kwenye raha

Kwenye shibe

Na kwenye njaa

Nitaimba haleluya

Haleluya haleluya

Kwenye shida

Kwenye raha

Kwenye shibe

Kwenye njaa

Nitaimba haleluya

Haleluya haleluya

Kwenye shida

Kwenye raha

Kwenye shibe

Kwenye njaa

Nitaimba haleluya

Haleluya haleluya

Kwenye shida

Kwenye raha

Kwenye shibe

Kwenye njaa

Nitaimba haleluya

Haleluya haleluya

Sababu najua Yeye

Ni Mungu

Sitaacha kumsifu

Anasema tushukuru

Kwa kila jambo

Hata kwa yale ambayo

Yana kasoro

Anasema tumsifu

Kwa kila hali

Hata kwa wakati

Wakupita jangwani

Sasa nimetambua

Anachotaka Mungu

Anachotaka sisi

Tumsifu tu

Anasema tumtwike

Fadhaha zetu

Maana Yeye hushughulika

Na mambo yetu

Na sisi tunashughulikia

La kwake

Maana kwake ni moja

Kumsifu tu

Kwenye majira yote

Tutamsifu

Kwenye nyakati zote

Tutamsifu

Na kwenye hali zote

Tutamsifu

Na kwenye mambo yote

Tutamsifu

Haleluya haleluya

Ni wimbo wa majira yote

Haleluya haleluya

Ni wimbo wa majira yote

Haleluya haleluya

Ni wimbo wa majira yote

Haleluya haleluya ooh

Ni wimbo wa majira yote

Haleluya nyakati zote

Haleluya majira yote

Haleluya kwenye dhoruba

Haleluya kwenye utulivu

Nitaimba Haleluya

Haleluya haleluya

Haleluya nyakati zote

Haleluya majira yote

Haleluya kwenye dhoruba

Haleluya kwenye utulivu

Nitaimba Haleluya

Haleluya haleluya

Haleluya nyakati zote

Haleluya majira yote

Haleluya kwenye dhoruba

Haleluya kwenye utulivu

Nitaimba Haleluya

Haleluya haleluya

Haleluya nyakati zote

Haleluya majira yote

Haleluya kwenye dhoruba

Haleluya kwenye utulivu

Nitaimba Haleluya

Haleluya haleluya

Haleluya nyakati zote

Haleluya majira yote

Haleluya kwenye dhoruba

Haleluya kwenye utulivu

Nitaimba Haleluya

Haleluya haleluya

Haleluya haleluya

Haleluya haleluya

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status