Ukae Nami (Live) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Ukae Nami - Henrick Mruma
...
chorus Eeh bwana ( ukae nami*²) milele *4 Bwana Ni mlinzi Wangu, uvuli wa mkono Wa kuumee..jua halitaingia mchana Wala mwezi, wakati Wa usiku, utanilinda na ma..baya yote ..mabaya yote... utanilinda nitokapo Na niingiapo, Sasa Na milele ...*2 chorus... Eeh bwana (ukae nami *²) milele milele*² ukae nami milele kaa nami Ni usiku Tena usiniache gizani bwana ,msaada wako haukomi