Nasonga Mbele ft. Kelsy Kerubo Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2023
Lyrics
Nasonga Mbele ft. Kelsy Kerubo - Rose Muhando
...
nimeshapata eeeh
tangazo tangazo kwa mmapepo na wajumbe wako mm sirudi nyuma kamwe
mapituli nao nawapa habari
waliosema sitasonga mm nasonga mbele
Huyu Yesu nimwache niende kwa nani
huyu Yesu mm namtazamia juu juuuu
Nasonga mbelee
Kama mgambo
sirudi nyuma sirudi nyuma kamwe
nainua macho yangu juu
skill za ng u
mawazo yangu juu
kila kitu changu juu
Ananipenda
hivi ni nini kitacho nifanya nimwache Mungu mbele nisiendelee nigeuke nyuma nimwacheee
ikiwa ni dhiki ,magonjwa,vifumba na vitawezaa
aaliye ndani yangu ni mkuu ataniwezeshaaa
eeeeeeeh
Hakuhesabu udhahifu wangu hakuchukulia tena kwa hasira yeye alinibariki bado
hakuwasikiza walioleta mashida akayaguka kama yake kama hayubu alinitetea