Pepo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Pepo - Ustadh Fadhil Massanza
...
pepo haipatikaniii,yaa illahi
ila kwa rehema zake,yaa manaani
twamuomba mola Raufu,yaillahii
madhambi atufutieee Allah
kila ajae kwa shari, yaa illahi
waijua yake siri,yaa manaani
ivunje yake dhwamiri,yaa illahi
isiweze kusimamaaaaa .. pepoooo
CHORUS
pepo haipatikani,yaa illahi
ila kwa rehema zake ,yaa maanani
twamuomba mola Raufu,yaa illahi
madhambi atufutiee Allah
matajiri wameaswi,yaa illahi
kuzitumia nafasi,yaa manaani
wayachangia maaswi,yaa illahi
na dini wapuuziaaa pepoooo
Repeat chorus
mafukara twadharau,yaa illahi
mayatima twasahau,yaa manaani
mali zao twadhulumu,yaa illahi
kwa kumuasi jaliyaaa pepooo
Repeat chorus
ulevi umekithiri,yaa illahi
zinaa imeshamiri,yaa manaani
na sisi sote twakiri,yaa illahi
kiama kimefikiaaa pepoooo
Repeat chorus