Dunia Ft. Suleymana Masssanza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Dunia Ft. Suleymana Masssanza - Ustadh Fadhil Massanza
...
dunia dunia dunia dunia aaaaaaa
duniani nakuambia kwaheri nakwenda
dunia dunia dunia dunia oooooo
duniani nakuambia kwaheri nakwenda
siku hiyo umekufa hapa dunia
umebebwa jenezani
mbele ya mola karima
wapelekwa kaburini walahi dunia
kwenye malazi ya mwisho
ndungu zako wanalia hapa dunia
majoni wanalia mbele ya mola Karima
na wewe wasilikilaza walahi dunia
kuwajibu unashindwa mbele ya mola karima
atakuja na mkeo hapa dunia
ataita Mara tatu mbele ya mola karima
mumewangu mime wangu walai dunia
waniacha peke yangu mbele ya mola karima
atakuja na mwanao jamani duniaa
ataita Mara tatu mbele ya mola karima
baba yangu baba yangu walahi duniaa
waniacha peke yangu mbele ya mola karima
kaburi lipo tayari hapa duniaa
na mwanandani tayari mbele ya mola karima
sasa wanaulizana jamani duniaa
yuko wapi tumzike mbele ya mola karima
wakisha kufukia ndani ya dunia aa
watasoma talakini mbele ya mola karima
na wewe wasikiliza jamani dunia aa
kuwajibu unashindwa mbele ya mola karima
nasifa zitaenea jamani dunia aa
tulikuwa nae mbele ya mola karima
nasasa ametutoka walahi dunia aa
ameiaga dunia mbele ya mola karima
tuishi isilasu jamani dunia
dunia imeandama mbele ya mola karima
wengi wao wamesha okarimahapa dunia
wamelala kaburini mbele ya mola karima
sio wakubwa si wadogo walahi dunia
tutaicha dunia mbele ya mola karima
turejee kwa manani walahi dunia
yuu hali katuridhia mbele ya mola karima
jamani jamani sala na kutoa hiyo zaka aaa
jamani jamani sala na kutoa hiyo zaka aaa
aaaaaaaaa aaaaaa dhunia
dhunia aaaaaaaaa aaaaaa
dhunia aaaaaaaaa aaaaaa
ohiya wameshatutoka ameiacha dunia
wamebebwa jenezani safari ya kaburini
usipofanya amani njema hapa dunia
utakwenda elezanini mbele ya mola karima

utaiacha dunia
dhunia aaaaaaaaa aaaaaa
dhunia aaaaaaaaa aaaaaa