Nikiachwa Kama Nimeacha w/ Mchina Mweusi Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Nikiachwa Kama Nimeacha Remix w/ Mchina Mweusi - Phina
...
Kwanza nina moyo wa chuma sifagilii mapenzi
Niache kufanya yangu nikuwaze wewe nani
Mi ndo mana nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Ndo nilivyo nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Oya we demu wako kama demu wangu
Demu wangu mi ni demu wangu tu
Shoga no mara whaaaa
Bwana wako kama bwana angu
Bwana angu mi ni bwana angu tu
Sijakataa mi mbaya nasura kama mnyau
Sawa kuachwa ntaachwa ila kua single ndo usahau
Kwanza muda wakukuwaza wewe shisha namuachia nani
Niache kunywa mipombe nijaze stress kichwan
Siwezi kushindana nako huko nlipotokea mimi
Hakuna faida yoyote zaidi yakupata ukimwi
Mi ndo mana nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Ndo nilivyo nikiachwa kama nimeacha
Nikiacha kama nimeacha tu
Oya we demu wako kama demu
Demu wangu mi ni demu wangu tu
Shoga no mara whaaaaa
Bwana ako kama bwana angu
Bwana angu mi ni bwana angu tu
Sasa endelea kujishauwa (utadhani unanikomoa)
Tukiachana asubuhi jioni natangaza ndoa
Endelea kujiona keki (utadhani uananikomoa)
Tukiavha asubuhi (jioni natangaza ndoa)
Ayaaaaa sasaaaaa!!
Mahari yangu milioni kumi nyoo!
We mpumbavu wakati izo nyuzi ulikatwa kwa chips kavu
Punguza kujishauwa wakuja unikome
Wenzako wanaringia shepu we unaringia komwe
Punguza kujiona soda wakuja unikome
Wenzako wanaringia titi we unaringia komwe
Masela eeeh (eeeeh) niwaambie kitu
Nyie wanangu eeh (eeh) niwaambie kitu
Oya demu wako husipo mpa hela atakuacha kama feitoto
Eh! Wahuni ee (eeeh) niwaambie kitu
Wanangu eeh (eeeh) niwaambie kitu
Oya demu wako husipohudumia utaachwa kama manara