Hayaa Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Hayaa - Phina
...
Sitolipanda miti kivuli tayari
Sa tuket jua lisituchome
Siwez kusalit kukuacha uende mbali
Sitetereki shetani anikome
Nakupenda wewe tu mahabuba
(Mahabuba)
Tugandane gandane kama ruba
(Kama ruba)
Oh lala tulilinde zaidi letu huba
(Letu huba)
Tu tufurah japo hatuna fuba
(Hatuna fuba)
Ooh haya haya haya haya
Haya haya
Haya we (haya)
Haya haya (haya haya)
(Haya)
Nishike kidogo (haya haya)
Aanh kidogo (haya )
Haya haya (haya haya)
(Haya)
......
Huba lake ni tamu
Wallah sijawah ona before aih before
(Kama yeye)
Nikishikwa na hamu sipati shida ya kumwita njoo simwiti ng'o
(Aja mwenyewe)
Nampa uroda mpaka maji anaita mma
(Mma)
Tam tam kama soda kimeumana chuma kwa chuma
(Chuma)
Akianza kwa shouda anafata mbele na nyuma
(Nyuma)
Hajaniroga kamali ameshanipuna
Nakupenda wewe tu mahabuba
(Mahabuba)
Tugandane gandane kama ruba
(Kama ruba)
Oh lala tulilinde zaidi letu huba
(Letu huba)
Tu tufurah japo hatuna fuba
(Hatuna fuba)
Ooh haya haya haya haya
Haya haya
Haya we (haya)
Haya haya (haya haya)
(Haya)
Nishike kidogo (haya haya)
Aanh kidogo (haya )
Haya haya (haya haya)
(Haya)