Loading...

Download
  • Genre:Taarab
  • Year of Release:2014

Lyrics

Jambo Haliwezekani - Yusuf Tenge

...

Simtii makosani ilahi mola muliwa

Simtii makosani ilahi mola muliwa jambo haliwezekani aeee

Jambo haliweekani kuwa halikujaliwa

Simtii makosani ilahi mola muliwa

Kwa dhiki za kidunia navingi kujikusuru

Ibilisi huningiaa akataka nikufuru

Ilahi nisaidia unipacho nishukuru

IIahi nisaidia unipacho nishukuru

Jambo haliwezkani aaaeeee

jambo haliwzekani kuwa halikujaliwa

Simtii makosani ilahi mola Muliwa

Simtii makosani ilahi mola muliwa

Yafahari na anasa hukutaka yaje kwangu

Wala hayo si makosa samahani mola wangu

Najua hungeniasa pengne si heri yangu

Najua hungeniasa pengine si heri yangu

Jambo haliwezkani aeee

Jambo haliwzekani kuwa haliKujaliwa

Simtii makosani ilahi mola Muliwa

Simtii makosani ilahi mola muliwa

Si wapepo ni wamoto mwenye Kukutia jongo

KKwenyekosa kosa kwenye pato hiyo ni yako mipango

Kuna walio na macho kuna wengine ni chongo

Kuna Walie na Matho Kuna wengine ni chongo

Jambo haliwezkani aeee

Jambo haliwzekani kuwa haliKujaliwa

Simtii makosani ilahi mola Muliwa

Simtii makosani ilahi mola muliwa

Nionapo wenginewe walo na bora neema

Matho usinifumbue nishindwe kuwatazama

Ulie wapa ni wewe na ndie ulo ninyima

Ulie wapa ni wewe na ndie ulo ninyima

Jambo haliwezkani aeee

Jambo haliwzekani kuwa halikujaliwa

Simtii makosani ilahi mola Muliwa

Simtii makosani ilahi mola muliwa

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status