Tuelewane Lyrics
- Genre:Taarab
- Year of Release:2014
Lyrics
Tuelewane - Yusuf Tenge
...
oooooh oooooh oooooh
oooooh ooooooh ooooh
ooooooooh oooooh
ooooooh oooooooooooh
tuelewaneee...
tuelewaneeee...
nia ziwe mojaaaa
tushikaneeee
tuwakere waja
tushikaneeee
tuwakere waja
tuelewaneeee
nia ziwe mojaaa
tushikaneee
tuwakere waja
tushikaneee
wakerekee wajaa
tuelewanee.......
verse 1
ni pulika ni pulikaaaa
tuyapimeni nenaooo×2
si dhihakaaa siii dhihakaaa
siwe na dhamiri hiyoooo
makinika
waja watendea mbiooo
makinikaaa
ni kaaa aaaah aaah
waja watendea mbio
makinikaaaa
waja watendea mbiooo
chorus
tuelewaneee
nia ziwe mojaaaaa
tushikaneeee
tuwakere wajaaa
tushikaneeee
wakereke wajaaa
tuelewaneeee......
verse 2
.......
tushikaneee tushikaneeee
tuwashinde mahasidiii
tushikaneee tushikaneee
pendo letu lishidadhiii
twelewaneeee twelewaneee
tuwashinde mahasidi
watuoneee
kila kukicha huzidiii
watuoneee
oneee eeee eeee
kila kukicha huzidi
watuoneeee
kila kukicha huzidi
chorus
tuelewaneee
nia zi2e mojaaaa
tushikaneeee
tuwakere wajaaa
tushikaneee
tuwakereee wajaaaa
tuelwaneeee
verse 3
.........
kuna waja kuna wajaaaaa
wasopenda wetu mwendooo×2
watakujaaa watakujaaaa
kwa matvvvv na vishindoooo
zao hajaaaa
ni kulitangua pendoooo
yao hajaaaa
hajaaa aaaa aaaa
nikulitangua pendooo
yao hajaaa
nikulitangua pendooo
chorus
tuelewaneee
nia ziwe mojaaaa
tushikaneee
tuwakere wajaaaa
tushikaneeee
wakerekeee wajaaa
tuelewanee......
verse 4
........
tumuombeee tumuombee
mola aso mshirikaa ×2
atupambee atupambee
nia ziweeee muwafakaaa
zao nyembeeee
zisikate wakitakaaaaa
zao nyembeeee
nyembeeee eeeee eeee
zisikate wakitaka
zao nyembeee
zisikate wakitakaaaa
chorus
tuelewaneee
nia ziwe mojaaaaa
tushikaneeee
tuwakere wajaaaa
tushikaneeee
wakerekeee wajaaa
tuelewaneee.....
verse 5
.......
mangithambiiii mangithambiiiii
na fahaha ithukizaaaaa oooo oooo×2
na vithimbiii na vithimbiiiii
za waja nimekujuzaaa
havitambiiii
rabbi kavitokomezaaaa
havitambiiiiii
tambiiiiiii iiiii iiiii
rabbi kavitokomezaaaa
havitambiiii
rabbi kavitokomezaaa
chorus
tuelewaneeee
nia ziwe mojaaaa
tushikaneeee
tuwakere wajaaaa
tushikaneeee
wakerekee wajaaaa
tuelewaneeee....×2