Beautiful ft. Alikiba Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Beautiful ft. Alikiba - Keysha
...
Ahaaa ahaaaaa ahaaaaa
Kwako nimefat amani
Raha na burudani
Wengine wa kazi gani eeh
Walisema wazee wazamani eeeh
Penzi linathamani, ila ukishinda mitiani eee
Moyo nilonao ni mmoja moja,
Napenda mmoja ambae ni wewee
Siku usizokwepo ntangoja ngoja
Siwezi kuonyesha unachokiona wewe
Ndakuku ndakuku ndakukundaga
Asa zile raha unazonipaga
Yani kama chizi navyokuaga…
Nakupe nakupe nakupendaga
Asa zile raha unazonipaga
Yani kama chizi navyokuwaga.. aha ahaa
Its a beatiful life, its a beatifull time
Its beatiful love love love love (x2)
Yeah
I know i skip never beyb time to time
Oll the time, when yo move all over me
Oh ma oh my
Siapti usingizi yani siiiii ooh silali
Kama haupo nyumbaniiii iiih
Taabani,
Umenikamata, oooh kamata
Nakwangu talaka, ooho talaka
Na kama talaka wee ndo utanipa
Na kama ukiniacha mi ntazikwa
Matata weeh matata
(Mtoto) Swadakta me nshadata
(Ohoo) we kopa mie ntalipa
Am in love with yu.
Umenifundisha na kinyakyusa ahaaa
Umenipeleka mpaka nafika ahaa
Umenikomesha mpaka nasoma
A e i o u
Umenifundisha mpaka nafika
Ohoooo umenikomeshaaaa
Naimbaa
A e i o u
Its a heautiful life, its a beautiful time
Its a beautiful love, love love love loveee (x2)
We call it love, we call it
We call it love, we call it
We call it love, we call it
So beautiful (x2)
Lyrics by; FavMie❤️