Wanje ft. Kusah Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Wanje ft. Kusah - Keysha
...
Baby nikipenda huwanga napenda am nt a pretend nakuona jinisi napenda vileunayo nipenda u are nt pretend. Si cheati hata kiduchu hii sukari ya zuchu kwa penzi liko huku hili sio bando la buku na Shiba na mabusu penzi liko huku Tena na nawiri tushanza fanana ooh ndege mwanana kutwa kuongozana. Mmmh baby nikinywa maji nakuona nikilalanga nakuota nikijitazama nakuona.