Ni Upendo Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni Upendo - Mathias Walichupa
...
Mmmh
Siri ya furaha yangu
Imo ndani ya pendo lako
Uthamani wa uo utu wangu
Umejengwa na pendo lako
Mmmh
Si rahisi kuyahesabu uuh
Maana ni mengi haya mapenzi yako
Na nikiyatafakari iiih
Naona nimependelewa nawe
Malangoni mwako ninashukuru (Asante Bwana)
This love is beautiful
Love is beautiful
Kwa kelele za shangwe
Mi ninakutukuza Bwana
Ooh utukuzwe
Bwana
Kwa mengi umetenda
(Ooh aah)
(Ni upendo wako)
Kuwa hivi nilivyo (Ni upendo wako)
Sababu ni (Ni upendo wako Bwana)
Bwana YESU (Ni upendo wako)
Mengi umetenda (Ni upendo wako)
Bwana (Upendo wako)
Ni upendo wako (Ni upendo wako Bwana)
Haleluya (Ni upendo wako)
....
Na na na na na na
....
Na na na na na na na
....
Ulitazamae kusudi lililofichwa eeh
Kati ya mengi yangu madhaifu
Mungu mwaminifu wa nyakati zote
Ooh Faraja ya kweli idumuyo (Haleluya Haleluya)
Nitaipaza sauti siku zote nikuimbie (Haleluya Haleluya)
Kwa maana Wewe ni mwema unaishi ndani yangu
(Haleluya Haleluya)
Matendo yako ya ajabu fadhili zako za milele (Haleluya Haleluya)
Sahibu wangu Adonai
Uinuliwe
Malangoni mwako ninashukuru (Asante Bwana)
This love is beautiful
Love is beautiful
Kwa kelele za shangwe
Mi ninakutukuza Bwana
Ooh utukuzwe
Bwana
Kwa mengi umetenda
(Ooh aah)
(Ni upendo wako)
Kuwa hivi nilivyo (Ni upendo wako)
Sababu ni (Ni upendo wako Bwana)
Bwana YESU (Ni upendo wako)
Mengi umetenda (Ni upendo wako)
Bwana (Upendo wako)
Ni upendo wako (Ni upendo wako Bwana)
Umetuvusha Baba (Ni upendo wako)
Mmh
Na na na na na na
....
Na na na na na na na
....
Written by JustinAdom